Afrika Ya Mashariki

Juhudi za kupambana na ulawiti wa watoto katika nchi za Afrika mashariki

Informações:

Synopsis

Ulawiti ni janga linaloendelea kuwakumba watoto si tu katika mataifa ya ukanda wa Afrika mashariki bali katika mataifa mbalimbali ulimwenguni. Nchini Tanzania kumekuwa na takwimu za kupanda na kushuka huku baadhi ya wanaharkati wakisema kuwa swala la uzembe limekuwa likichangia kuongezeka kwa ubakaji na ulawiti kwa WatotoHatua mbalimbali zimekuwa zikichukuliwa na kuibua wito wa kitaifa kwa wazazi kuongeza ulinzi na ufuatiliaji wa watoto wao.