Sbs Swahili - Sbs Swahili

Jinsi yakufanya maandalizi yakukabiliana na dhoruba na mafuriko

Informações:

Synopsis

Katika muongo uliopita, Australia imepitia baadhi ya matukio mabaya sana yamafuriko yaliyo wahi rokodiwa katika historia. Kati ya mwaka wa 2020-2022, maeneo mengi yamezama chini ya maji kati ya mara tatu na nne.