Sbs Swahili - Sbs Swahili

Sofia na Anna:"tunashiriki katika mashindano ya soka kuboresha afya yetu"

Informações:

Synopsis

Wanawake na wasichana wanao ishi mjini Sydney, kwa muda mrefu walikuwa wakiomba kujumuishwa katika michuano ya kombe la Afrika.