Wimbi La Siasa
Umoja wa Mataifa unaadhimisha Siku 16 za Unaharakati dhidi ya Dhuluma za Kijinsia
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 0:10:21
- More information
Informações:
Synopsis
Siku 16 za uanaharakati dhidi ya ukatili wa kijinsia ni kampeni inayofanyika kila mwaka kati ya Novemba 25 hadi Desemba 10. Ni kampeni ya siku 16 inayolenga kuhamasisha umma jinsi ya kukomesha ukatili dhidi ya wanawake na wasichana. Siku hiyo ilianza kuadhimishwa rasmi mwaka 1991,siku hii inaongozwa na Kituo cha kimataifa cha Wanawake tarehe 10 ilichaguliwa rasmi kuwa siku ya kilele cha maadhimisho haya ikiambatana na siku ya haki za binadamu duniani. Asante kwa kuendelea kuwa muaminifu kwa radio yako na kwa mtangazaji wako unaweza kumfollow kwa kubonyeza hapa Billy Bilali