Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mkutano wa Luanda kati ya DRC na waasi wa M23 marchi 18, hali ya sudani na kwengineko

Informações:

Synopsis

Mazungumzo ya ana kwa ana kati ya DRC na waasi wa M23 wanaosaidiwa na Rwanda kuanza jumanne ya Marchi 18, SADC kusitisha operesheni zake mashariki mwa DRC, mapigano kule Sudan Kusini kati ya wanajeshi wa serikali na wapiganaji waliotiifu kwa makamu wa kwanza wa rais Riek Machar, juhudi za kikanda kuyahamasisha mataifa ya Mali, Burkina faso na Niger kurejea tena kama wanachama wa ECOWAS, na sitisho la mapigano kwa muda mfupi kati ya Urusi na Ukraine, ni miongoni mwa yaliyojiri wiki hii