Nyumba Ya Sanaa

Ajira itokanayo na sanaa ya uchoraji visiwani Zanzibar

Informações:

Synopsis

Uchoraji ni Ajira ,Wasanii wa sanaa hii Zanzibar wananeemeka na kazi zao, Ungana na Steven Mumbi akizungumza na Obedience na Muki kutoka Zanzibar.