Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Rais wa DRC Tshisekedi akutana na mwenzake wa Rwanda Paul Kagame, vita nchini Sudan
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 0:20:19
- More information
Informações:
Synopsis
Yaliyomo ni pamoja na Mkutano wa ana kwa ana kati ya rais wa DRC Felix Tshisekedi na mwenzake wa Rwanda Paul Kagame mjini Doha Qatar, mapigano kule Sudan Kusini kati ya wanajeshi wa serikali na wapiganaji wa white Army waliotiifu kwa makamu wa kwanza wa rais Riek Machar, Niger kujivua uanachama wa franchophonie, mashambulio ya Israeli kule Gaza, sintofahamu ya sitisho la mapigano kwa muda mfupi kati ya Urusi na Ukraine ni miongoni mwa habari kuu za dunia zilizojiri kwa juma hili.