Jukwaa La Michezo
Mashindano ya kukimbiza magari, yapamba moto nchini Kenya
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 0:23:40
- More information
Informações:
Synopsis
Mashindano ya dunia ya kukimbiza magari, Safari Rally yanaendelea nchini Kenya. Madereva mbalimbali kutoka duniani, wanakutana mjini Naivasha kwa ajili ya kutafuta ubingwa wa mwaka 2025.