Nyumba Ya Sanaa

Tanzania: Tunamuangazia Samir Kassim Rashid maarufu Samir Kinyulinyuli

Informações:

Synopsis

Samir Kassim Rashid maarufu Samir Kinyulinyuli ni Msanii wa Sanaa ya Muziki aliyelazimika kukimbilia Dar es salaam akitokea Morogoro  ili kufanikiwa  kisanaa, Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa ya Jumahili.