Gurudumu La Uchumi

Kenya: Wanawake Nandi waruka vikwazo kujikwamua kiuchumi

Informações:

Synopsis

Katika Makala ya Gurudumu la uchumi juma hili, tunatuama nchini Kenya, na tunaiangazia jamii ya Wanandi, ambapo kama ilivyo kwa mataifa mengi ya kiafrika, wanawake hawapewi nafasi ya kumiliki mali kama ardhi, mifugo – hasa ng'ombe wa maziwa – hali ambayo imesababisha uduni wa maendeleo ya kiuchumi miongoni mwao.Kufahamu kwa undani, ungana na Emmanuel Makundi na Victor Moturi, ambaye alizuru eneo la Nandi na kuandaa makala haya.