Gurudumu La Uchumi

Sehemu ya I: Je, Teknolojia Inaweza Kupunguza changamoto za Biashara barani Afrika?

Informações:

Synopsis

Leo Katika makala ya gurudumu la uchumi tunakuletea sehemu ya kwanza ya mada kuhusu namna teknolojia inavyoweza kuhusihwa kwenye biashara kutatua changamoto zinazolikabili bara la Afrika, ikiwemo biashara ya kidijitali kuchochea utangamano, kuongeza ufanisi na kuleta maendeleo.Leo nakuletea sehemu ya kwanza ya mazungumzo yangu na Ali Mkimo, mchambuzi na mtaalamu wa masuala ya uchumi na biashara akiwa Tanzania.