Jua Haki Zako

Amnesty International : Saudi Arabia inawanyanyasa wafanyakazi wa nyumbani

Informações:

Synopsis

Shirika la Amnesty International imeitaka serikali ya Kenya pamoja na ile ya Saudi Arabia kushiriiana na kuweka mikakati ya kuhakikisha haki za raia wa Kenya wanaofanya kazi katika mataifa ya Ugaibini hazitatiziki. Katika ripot iyake Amnesty imesema kuwa wanawake wanaofanya kazi za nyumbani huko Uarabuni wanapitia mateso za kijinsia, kunyanyashwa kimapato na hata kuuawa.