Habari Rfi-ki
Kenya : Mitandao ya kijamii inasababisha matatizo
- Author: Vários
 - Narrator: Vários
 - Publisher: Podcast
 - Duration: 0:10:04
 - More information
 
Informações:
Synopsis
Gazeti la The Star nchini Kenya limewahi chapisha ripoti inayoonesha namna mitandao ya kijamii inavyoathiri watu kwa kusababisha wasiwasi, matatizo ya afya ya akili na athari nyinginezo. Tunakuuliza Je, maisha ya mitandao yanatusaidia kama jamii au yanatuumiza? skiza maoni ya waskilizaji wetu.