Voa Express - Voice Of America

  • Author: Vários
  • Narrator: Vários
  • Publisher: Podcast
  • Duration: 9:59:42
  • More information

Informações:

Synopsis

VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. 

Episodes

  • Jumuia ya Afrika Mashariki yaadhimisha miaka 25 tangu kuundwa kwake. Vijana watoa maoni kuhusu mafanikio na changamoto - Novemba 29, 2024

    29/11/2024 Duration: 29min
  • Utali umesaidia kuajiri vijana nchini Tanzania kulingana na mtaalamu wa masuala ya ujasiriamali katika mkoa wa Arusha - Novemba 28, 2024

    28/11/2024 Duration: 30min
  • Serikali ya Kenya inaendelea kuajiri vijana kwa wingi wakafanye kazi ugaibuni - Novemba 27, 2024

    27/11/2024 Duration: 29min
  • Program tofauti zinafanyika katika nchi nyingi za Afrika katika kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia hadi Disemba 10. - Novemba 26, 2024

    26/11/2024 Duration: 30min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Mwanaharakati wa wanawake wa shirika la Open Talk la Kenya anaelezea elimu wanayotoa kusitisha visa vya ukatili kwa wanawake na wasichana - Novemba 25, 2024

    25/11/2024 Duration: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Vijana katika COP29 nchini Azerbaijan wanasema wanataka siti na ushirikishwaji wa moja kwa moja wa majadiliano ya mabadiliko ya tabia nchi. - Novemba 22, 2024

    22/11/2024 Duration: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • VOA Express - Novemba 21, 2024

    21/11/2024 Duration: 29min

    VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Wakati dunia ikiadhimisha siku ya mtoto wito watolewa kutatua changamoto zao - Novemba 20, 2024

    20/11/2024 Duration: 29min

    Wakati dunia ikiadhimisha siku ya mtoto wito watolewa kutatua changamoto zao

  • Unyanyasaji wa kijinsia kwa watoto na unyanyasaji mwingine nchini Tanzania unaongezeka, kulingana na taasisi ya Macho kwa Jamii. - Novemba 19, 2024

    19/11/2024 Duration: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Kijana mfanyabiashara wa Kariakoo nchini Tanzania anasema biashara imebadilika tangu jengo la ghorofa lilipoanguka na kusababisha maafa. - Novemba 18, 2024

    18/11/2024 Duration: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Vijana na mashabiki wa muziki wanaelezea walivyoguswa na kifo cha King Kiki, gwiji wa muziki wa Rumba huko Tanzania na Afrika Mashariki. - Novemba 15, 2024

    15/11/2024 Duration: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Mwanzilishi wa Unique Journey Life Coach ya Marekani anaelezea changamoto zilizopo wasichana kujitokeza wanaopitia unyanyasaji wa kijinsia. - Novemba 14, 2024

    14/11/2024 Duration: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Vijana wanataka wasiachwe nyuma katika kulinda mazingira - Novemba 13, 2024

    13/11/2024 Duration: 29min

    Vijana wanataka wasiachwe nyuma katika kulinda mazingira

  • Wanawake wenye msongo wa mawazo washauriwa kupata ushauri badala ya Skanka - Novemba 12, 2024

    12/11/2024 Duration: 29min

    Wanawake wenye msongo wa mawazo washauriwa kupata ushauri badala ya Skanka

  • Mwanzilishi wa Doris Mollel Foundation ya Tanzania anaeleza changamoto zilizopo katika kusaidia afya ya Mama na mtoto kwa vijana nchini humo - Novemba 11, 2024

    11/11/2024 Duration: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Vijana wa maputo nchini msumbiji wanaandamana wakidai kutoridhishwa na matokeo ya uchaguzi wa rais Oktoba 9 na ukosefu wa ajira upo juu. - Novemba 08, 2024

    08/11/2024 Duration: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Mkazi wa jimbo la Minnesota nchini Marekani anaeleza alichojifunza kufuatia ushindi wa Hulda Momanyi katika kiti cha uwakilishi jimboni humo - Novemba 07, 2024

    07/11/2024 Duration: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Wapiga kura waeleza walivyopokea matokeo ya uchaguzi Marekani - Novemba 06, 2024

    06/11/2024 Duration: 29min

    Wapiga kura waeleza walivyopokea matokeo ya uchaguzi Marekani

  • Maoni mseto ya wapigakura Marekani wenye asili ya Afrika katika uchaguzi wa urais 2024 kati ya Kamala Harris na Donald Trump. - Novemba 05, 2024

    05/11/2024 Duration: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Wakaazi wa jimbo la Maryland nchini Marekani wanatoa maoni yao siku moja kuelekea uchaguzi mkuu wa urais Marekani wenye ushindani mkali. - Novemba 04, 2024

    04/11/2024 Duration: 30min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.