Synopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodes
-
Taarifa ya Habari 3 Aprili 2025
03/04/2025 Duration: 05minWaziri Mkuu Anthony Albanese amesema serikali ita toa dola milioni 50, kwa sekta zitakazo athiriwa kwa tangazo jipya la ushuru kutoka Marekani.
-
The legal loophole allowing political lies during elections - Mwanya wa kisheria unao ruhusu uongo wakisiasa wakati wa uchaguzi
03/04/2025 Duration: 07minWith an election date set for May 3rd, campaigning has officially begun. But political advertisements have already been circulating for months. Can you trust what they say? - Baada ya tarehe ya uchaguzi kutangazwa kuwa 3 Mei, kampeni zime anza rasmi. Ila matangazo ya kisiasa yame kuwa yaku sambazwa kwa miezi kadhaa. Je, unaweza amani wanavyo sema?
-
Ssaru "Mwanzoni familia hawakutaka tuwe wasanii"
03/04/2025 Duration: 08minKila kukicha sekta ya sanaa nchini Kenya, huwakaribisha wasanii wapya.
-
Swahili Taarifa ya Habari 1 Aprili 2025
01/04/2025 Duration: 19minWaziri wa Ajira na mahusiano ya kazini, Murray Watt, ame kosoa ahadi ya upinzani yaku futa baadhi ya mageuzi ya mahusiano ya viwanda ya Serikali ya Labor.
-
SBS Learn Eng Pod Ep 81 Kuzungumza kuhusu uchaguzi
01/04/2025 Duration: 14minJe, unajua namna ya kufanya majadiliano kuhusu uchaguzi katika Kiingereza?
-
Taarifa ya Habari 31 Machi 2025
31/03/2025 Duration: 05minWa Islamu nchini Australia na duniani kote, wana sherehekea Eid al-Fitr baada ya mwezi mtukufu wa Ramadan kumalizika.
-
What’s Australia really like for migrants with disability? - Australia ikoje kwa wahamiaji wenye ulemavu?
31/03/2025 Duration: 07minDisability advocates and experts say cultural stigma and migration laws leave migrants living with disability further excluded and marginalised. - Watetezi wa ulemavu na wataalam, wanasema unyanyapaa wa kitamaduni na sheria za uhamiaji, huwaacha wahamiaji wanao ishi na ulemavu wakiwa wame tengwa zaidi.
-
Uchaguzi wa shirikisho wa Australia kufanywa 3 Mei 2025
28/03/2025 Duration: 06minTarehe ya uchaguzi wa shirikisho wa 2025 ime tangazwa. Tangazo hilo lina maana gani? Na unastahili fanya nini sasa?
-
Taarifa ya Habari 28 Machi 2025
28/03/2025 Duration: 18minWaziri Mkuu Anthony Albanese ametangaza kuwa tarehe ya uchaguzi mkuu itakuwa 3 Mei 2025. Bw Albanese ali muarifu Gavana Mkuu Samantha Mostyn, nia yake yaku itisha uchaguzi mkuu mapena leo asubuhi.
-
Wapatanishi wa EAC na SADC waongeza kasi ya kujaribu kusuluhisha mzozo wa DRC
28/03/2025 Duration: 06minViongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na ile ya SADC, wameongeza kasi ya kujaribu kusuluhisha mzozo wa mashariki mwa nchi ya DRC.
-
Taarifa ya Habari 27 Machi 2025
27/03/2025 Duration: 06minMsemaji wa maswala ya hazina katika Upinzani amethibitisha kuwa Upinzani wa Mseto, utafuta makato ya ushuru ya Labor, upinzani ukishinda uchaguzi mkuu.
-
Future "tunataka serikali ya Australia isaidie kuleta suluhu ya amani DRC"
26/03/2025 Duration: 07minWa Australia wenye asili ya DR Congo, walijumuika mbele ya bunge la taifa mjini Canberra kuandamana dhidi ya vita vinavyo endelea mashariki mwa DR Congo.
-
SBS Learn Eng pod Ep 6 Liking disliking Australian desserts
26/03/2025 Duration: 12minJe, unajua namna yakusema unapenda au haupendi kitu katika Kiingereza?
-
Taarifa ya Habari 25 Machi 2025
25/03/2025 Duration: 18minNaibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Ulinzi Richard Marles, amesema kutakuwa uwekezaji wa ziada katika idara ya Ulinzi wa dola bilioni 1 katika bajeti itakayo tangazwa usiku wa leo Jumanne Machi 25.
-
Bajeti ya 2025: Je, tume andaliwa nini?
25/03/2025 Duration: 07minBajeti ya shirikisho inatarajiwa kurejesha nakisi. Haswa uchaguzi mkuu unapo karibia, bajeti hiyo ime mulika nafasi ngumu kuendelea mbele kwa wanao ongoza nchi.
-
Taarifa ya Habari 24 Machi 2025
24/03/2025 Duration: 06minSerikali ya Labor na Upinzani wana sifu sera zao za Uchumi, kabla ya kutangazwa kwa bajeti ya shirikisho kesho Jumanne 25 Machi.
-
Mark "karibuni Kusini Australia tusherehekee utamaduni wetu"
22/03/2025 Duration: 07minWa Kenya wanao ishi Australia, wana elekea mjini Adelaide, Kusini Australia kuhudhuria tamasha ya kila mwaka inayo andaliwa na jumuiya ya Kitwek jimboni humo.
-
Taarifa ya Habari 21 Machi 2025
21/03/2025 Duration: 23minOnyo kuu la marufiko limetolewa kwa jumuiya za Kaskazini Queensland, karibu ya Lower Herbert River. Kiwango cha maji kimepita kiwango cha mafuriko cha mita 5.5 asubui ya Alhamisi 20 Machi.
-
Islamophobia in everyday life - Kunyanyaswa kwa wa Islamu katika maisha ya kila siku
18/03/2025 Duration: 09minAgainst the backdrop of the Israel-Hamas war, incidents of Islamophobia in Australia have surged – whether verbal, physical or online. What's the lasting impact on victims, and what can be done? - Kufuatia vita vya Israel-Hamas, matukio yawa Islamu kunyanyaswa yame ongezeka nchini Australia, iwe kwa maneno, kimwili au mtandaoni. Athari ya kudumu kwa wa athiriwa ni gani, na nini kinaweza fanywa?
-
Taarifa ya Habari 18 Machi 2025
18/03/2025 Duration: 19minShinikizo lakisiasa lina ongezeka kwa chama cha Labor kiache makubaliano ya AUKUS, ambayo kupitia makubaliano hayo Australia inafaa pata manowari ya nyuklia.