Synopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodes
-
Taarifa ya Habari 26 Septemba 2025
26/09/2025 Duration: 14minWaziri wa Mambo ya Nje Penny Wong amesema Australia ina simama kidete juu ya tamaduni nyingi, baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kukosoa uhamiaji katika hotuba yake kwa kikao cha mkutano wa Umoja wa Mataifa.
-
Taarifa ya Habari 23 Septemba 2025
23/09/2025 Duration: 17minWaziri Mkuu amesema ombi la utaifa wa Palestina ni fursa ya amani, katika hotuba yake kuhusu soluhu ya nchi mbili, alipo hudhuria kikao cha Umoja wa Mataifa hii leo Jumanne 23 Septemba 2025.
-
Serikali ya shirikisho yazungumza kwa ukali baada ya kupotea kwa huduma ya simu ya dharura ya Optus
23/09/2025 Duration: 09minWaziri wa Shirikisho wa Mawasiliano amesema Optus inastahili tarajia adhabu kubwa, kufuatia kupotea kwa huduma ya namba ya dharura ya 000, hali ambayo ime husishwa na vifo kadhaa.
-
Kamerhe chini ya shinikizo kuondolewa kama spika wa bunge la DRC
22/09/2025 Duration: 06minTaratibu zinazolenga kumfuta kazi Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Vital Kamerhe zinaendelea huku kukishuhudiwa hali ya mfarakano kati ya rais Félix Tshisekedi na mshirika wake huyo wa zamani.
-
Taarifa ya Habari 19 Septemba 2025
19/09/2025 Duration: 14minKampuni ya pili kwa ukubwa ya madini imetangaza inapunguza ajira. Anglo American Australia imesema ita angaza kupunguza idadi ya wafanyakazi Queensland, na takriban wafanyakazi 200 wata athirika.
-
Raia wapya wa Australia wakaribishwa katika sherehe katika Siku ya Uraia ya Australia
19/09/2025 Duration: 11minMaelfu ya watu wanasherehekea kuwa raia wapya wa Australia, katika sherehe zilizo andaliwa na halamshauri za jiji kote nchini kwa siku ya Uraia wa Australia.
-
SBS Learn Eng Ep 93 Namna ya kujigamba kuhusu gari lako katika Kiingereza
19/09/2025 Duration: 16minJe, unajua jinsi ya kujigamba kuhusu gari lako?
-
Taarifa ya Habari 16 Septemba 2025
16/09/2025 Duration: 15minNaibu Waziri Mkuu Richard Marles amekana madai kuwa uwekezaji wa $12 bilioni iliyo tangazwa juzi ime undwa ili kutuliza maombi ya Marekani kwa Australia kuongeza matumizi yake katika ulinzi.
-
SBS Learn Eng Ep 95 Anga la usiku
16/09/2025 Duration: 13minJe, unajua jinsi ya kuelezea kuhusu anga la usiku?
-
Kitu chakufanya unapo kutana na wanyamapori kwenye mali yako
15/09/2025 Duration: 12minPopote ulipo nchini Australia, kutoka jiji kuu lenye shughuli nyingi, hadi katika viunga vya mji, katika mji wa kikanda au kijijini, kuna uwezekano unaweza kutana na aina mbali mbali za wanyamapori wazuri wa Australia.
-
Taarifa ya Habari 15 Septemba 2025
15/09/2025 Duration: 05minBenki ya ANZ imekiri kujihusisha na mwenendo usiofaa, katika huduma iliyotoa kwa serikali ya Australia, kulingana na Tume ya Uwekezaji na usalama ya Australia (ASIC).
-
Mutamba ahukumiwa kifungo cha kazi ngumu DR Congo
15/09/2025 Duration: 06minWaziri wa Sheria wa zamani wa DR Congo, Constant Mutamba amehukumiwa na mahakama mjini Kinshana kufanya kazi ngumu kwa miaka mitatu.
-
Félicien Kabuga apambana kupata nchi itakayo mpokea badala ya Rwanda
12/09/2025 Duration: 07minMshukiwa wa mauaji ya kimbari ya Rwanda, Félicien Kabuga anakabiliana na wakati mgumu kupata nchi itakayo mpokea kwa muda kutoka gereza la The Hague, Uholanzi.
-
Taarifa ya Habari 12 Septemba 2025
12/09/2025 Duration: 15minWaziri Mkuu amesifu msaada wa wanachama wa kongamano la Visiwa vya Pasifiki, Australia inapo saka uenyeji wa kongamano la mazingira la Umoja wa Mataifa la, COP-31.
-
SBS Learn Eng Ep 22 Njia Rasmi na isiyo rasmi ya kualika watu
12/09/2025 Duration: 14minJe, unajua jinsi ya kuwapa watu mwaliko rasmi na usio rasmi?
-
The cervical screening test that could save your life - Uchunguzi wa kizazi ambao unaweza okoa maisha yako
12/09/2025 Duration: 12minCervical cancer is preventable, but only if you catch it early. Cultural and personal barriers have often meant that women avoid cervical cancer testing. But now with the help of a world-leading test, Australia is aiming to eliminate cervical cancer by 2035. The test is a safe and culturally sensitive option for women from all backgrounds. Best of all it could save your life—or that of someone close to you. - Saratani ya Kizazi inaweza zuiliwa, kama ina gunduliwa mapema. Vizuizi vya kitamaduni na kibinafsi mara nyingi vime kuwa na maana kwamba, wanawake wanachelewesha kufanya uchunguzi wa saratani ya kizazi. Ila sasa, kwa msaada wa kipimo kinacho ongoza duniani, Australia ina lenga kutokomeza saratani ya kizazi kufikia mwaka wa 2035. Uchunguzi huo ni salama, na kitamaduni ni chaguo nyeti kwa wanawake kutoka mazingira yote. Muhimu zaidi, kipimo hicho kinaweza okoa maisha yako au mtu wa karibu yako.
-
Uchunguzi wa kizazi ambao unaweza okoa maisha yako
09/09/2025 Duration: 13minSaratani ya Kizazi inaweza zuiliwa, kama ina gunduliwa mapema.
-
Taarifa ya Habari 9 Septemba 2025
09/09/2025 Duration: 15minDau Akouny, mmoja wa wavulana wawili walio uawa katika shambulizi la kisu mjini Melbourne wikiendi iliyopita, amekumbukwa na familia yake kama "mtoto mzuri" na alikuwa "sehemu ya mustakabali wa kesho wa jumuiya."
-
Mpango wakupiga jeki idadi ya walimu wa ufundi kushughulikia uhaba wa ujuzi nchini Australia
09/09/2025 Duration: 09minSerikali ya shirikisho imetangaza mpango wenye thamani ya $30 milioni, kupiga jeki idadi ya wakufunzi wa elimu ya ufundi.
-
Taarifa ya Habari 5 Septemba 2025
05/09/2025 Duration: 15minWaziri wa mambo ya tamaduni nyingi Anne Aly, amechangia ujumbe wa mshikamano na jumuiya yawa Hindi wa Australia, kufuatia maandamano dhidi ya wahamiaji.