Habari Za Un

Hatari ya watu milioni 4.4 nchini Somalia kukumbwa na njaa mwezi Aprili mwaka huu

Informações:

Synopsis

Watu milioni 4.4 nchini Somalia wako hatarini kukumbwa na njaa ifikapo mwezi Aprili mwaka huu wa 2025, kutokana na ukame mkali, mizozo na ongezeko kubwa la bei za vyakula. Selina Jerobon na taarifa zaidi..