Habari Za Un

Mradi wa FAO wa kulinda lishe ya wasiojiweza umekuwa mkombozi Turkana nchini Kenya

Informações:

Synopsis

Mradi unaoendeshwa na shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo FAO, wa kulinda lishe ya wasiojiweza wakiwemo wajasiriamali wa bishara ndogodogo na za kati, wakulima wadogo wa matunda na mbogamboga, wafugaji  na wachuuzi wa samaki kama sehemu ya jitihada za kujikwamua baada ya janga la COVID-19 umeleta nuru kwa jamii mbalimbali ikiwemo katika kaunti ya Turkana Kaskazini Magharibi mwa Kenya na katika kambi ya wakimbizi ya Kakuma. Je unawanufaisha vipi wakulima na kwa nini ni muhimu? Ungana na Flora Nducha katika makala hii kwa undani zaidi