Habari Za Un
Simulizi ya Babu Jassim anayerejea nchini Syria kutoka Lebanon
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 0:02:18
- More information
Informações:
Synopsis
Tangu kuangushwa kwa utawala wa aliyekuwa Rais wa Syria Bashar al Assad aliyekuwa madarakani kwa zaidi ya muongo mmoja, wananchi wa Syria wamekuwa wakimiminika kurejea nchini mwao ambapo takwimu za sasa zinaonesha zaidi ya Wasyria 500,000 wamerejea kutoka nchi jirani. Mmoja wa waliorejea ni Babu Jassim na Leah Mushi anatuletea simulizi yake.