Habari Za Un
Demokrasia inayotenga katu si demokrasia - Guterres
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 0:02:40
- More information
Informações:
Synopsis
Leo ni siku ya demokrasia duniani ambapo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ameeleza bayana kuwa demokrasia iko hatarini duniani. Asumpta Massoi na taarifa zaidi.