Siha Njema
Masaibu ya wakaazi wa kisiwa cha Ndeda nchini Kenya wanaokosa vyoo vya kutosha
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 0:09:09
- More information
Informações:
Synopsis
Mwongozo wa shirika la afya duniani,WHO kuhusu usafi,unapendekeza choo kimoja kinaweza kutumika na watu 20 ila katika kisiwa cha Ndeda ndani ya Ziwa Victoria ,watu zaidi ya elfu 2 wanachangia vyoo vitano