Mada hii inazungumzia mwelekeo wa mwanadamu na uwajibu wa kujitambua,na udhalili wa mwanadamu,na udanganyifu wa dunia.
Daily Swahili radio programs from Adventist World Radio - Karibu katika matangazo ya kiswahili ya Redio ya Waadventista Ulimwenguni
Swahili Translation of Friday Sermon delivered by Khalifatul Masih
Mada hii inazungumzia yanayo letwa na mwzi wa ramadhani,na ushindi ulio patikana katika mwezi wa ramadhani,na yanayo paswa kufanywa katika mwezi wa ramadhani,na sharti ya ushindi.
Mada hii inazungumzia fadhila za swaumu,na dalili zilizo kuja kueleza ubora wa swaumu,na nguvu za swaumu katika kuziwiya madhambi.
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari...
Mada hii inazungumzia adabu za siku ya kwanza ya kukutana mume na mke kwajili ya kushiriki tendo la ndoa.
Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na...
Kwenye makala ya Afrika ya Mashariki unahabarika na kuelimika juu ya changamoto za maisha ya wananchi wa Afrika Mashariki na eneo zima la maziwa makuu. Usipitwe na Makala ya...
Fahamu masuala kadha wa kadha kuhusu uchumi kama vile, namna ya kupambana na umaskini, mfumuko wa bei, kushamiri kwa matumizi ya dola na athari za kuyumba kwa uchumi wa dunia kwa...