Synopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodes
-
Taarifa ya Habari 22 Mei 2025
22/05/2025 Duration: 05minKiongozi wa New South Wales, Chris Minns, amesema rasilimali za ziada zinatolewa kwa jumuiya ambazo zime athiriwa kwa mafuriko, katika eneo la kati ya pwaZaidi ya idadi ya watu elfu 48,000 kwa sasa wame tengwa kwa sababu ya maji ya mafuriko.
-
SBS Learn Eng pod 84 Jinsi ya kuelezea uwezo wako waku kimbia (Med)
22/05/2025 Duration: 14minJe, unajua jinsi ya kuzungumzia sifa zako za kukimbia au kufanya riadha?
-
Jinsi ya kufurahia maeneo ya nyika ya Australia kwa kuwajibika
22/05/2025 Duration: 14minMandhari yakupendaza na tofauti ya Australia, kuanzia pwani hadi jangwani na yote yaliyo katikati, ni nyumbani kwa mimea ya asili na wanyama wakushangaza.
-
Taarifa ya Habari 20 Mei 2025
20/05/2025 Duration: 17minJimbo la Victoria lina tarajia kupata ziada yake ya kwanza tangu janga la UVIKO-19, wakati serikali ya Allan itakapo toa bajeti ya jimbo hii leo Jumanne 20 Mei 2025.
-
Watu wakujitolea wana jukumu kubwa nchini Australia, ila idadi yao inapungua
20/05/2025 Duration: 10minWiki ya kitaifa yakujitolea ime anza, ita kuwa kuanzia 19 Mei hadi 25 Mei 2025.
-
Taarifa ya Habari 16 Mei 2025
16/05/2025 Duration: 15minKiongozi wa Upinzani wa Shirikisho Sussan Ley, amesema kuungana tenana wanawake itakuwa kipaumbele chake kama kiongozi wa Upinzani wa shirikisho.
-
Jeremiah "kuna mkanganyo wa maadili yaki Afrika naya wazungu hapa Melbourne"
14/05/2025 Duration: 07minBaadhi ya wanachama wa jumuiya yawa Afrika wanao ishi Melbourne, Victoria wame kuwa waki kabiliana na wakati mgumu katika kipindi cha kampeni za uchaguzi wa jimbo na shirikisho.
-
Taarifa ya Habari 13 Mei 2025
13/05/2025 Duration: 17minSussan Ley ame chaguliwa kuwa kiongozi wa chama cha Liberal. Bi Ley alikuwa Naibu Kiongozi wa chama hicho cha Liberal, alimshinda mpinzani wake mwekahazina kivuli Angus Taylor, katika kura yakumchagua kiongozi mpya muda mfupi ulio pita mjini Canberra.
-
Nafasi za baraza la waziri za tangazwa: Nani yuko ndani, nani yuko nje?
13/05/2025 Duration: 09minTanya Plibersek ame shushwa cheo nakupewa wizara ya Huduma za Jamii, wakati Anthony Albanese anatangaza baraza lake la mawaziri, atakao fanya kazi nao katika muhula wake wa pili serikalini.
-
Taarifa ya Habari 9 Mei 2025
09/05/2025 Duration: 18minAnthony Albanese akosolewa kwa kumshasha cheo waziri pekee Muislamu katika baraza lake la mawaziri, wakati vyama vya upinzani vya ongeza juhudi yaku wachagua viongozi wao wapya.
-
Adam Bandt akubali kushindwa, asema chama cha Greens kili feli ku kwea mlima Everest
09/05/2025 Duration: 08minAdam Bandt amekubali ameshindwa nakupoteza kiti chake cha Melbourne bungeni, katika matokeo ambayo yame acha chama cha Greens bila kiongozi.
-
Taarifa ya Habari 8 Mei 2025
08/05/2025 Duration: 06minWaziri Mkuu Anthony Albanese amesema mtazamo wa mhula wa pili wa serikali ya Labor, utakuwa kuimarisha mahusiano na washiriki walio ng’ambo, kuhakikisha utulivu wa kiuchumi nyumbani.
-
Betty afunguka kuhusu jinsi yaku badilisha viza yako ukiwa Australia
08/05/2025 Duration: 09minWanafunzi wengi wakimataifa wame wasili nchini Australia, kupitia msaada wa mawakala wa uhamiaji.
-
Chama cha Greens cha kabiliana na matokeo yakukatisha moyo katika uchaguzi wa shirikisho
06/05/2025 Duration: 19minChama cha Greens kina onekana kuwa na viti vichache zaidi ndani ya nyumba ya chini baada ya matokeo ya uchaguzi wa shirikisho wa wikendi iliyo pita ila, wanaweza shikilia usawa wa mamlaka ndani ya Seneti.
-
Taarifa ya Habari 6 Mei 2025
06/05/2025 Duration: 16minAnthony Albanese ata anza muhula wake wa pili kama Waziri Mkuu akiwa na serikali ya wengi, baada ya ushindi mkubwa wa chama cha Labor, chama chake kilishinda viti 86 bungeni.
-
Albanese ashinda uchaguzi wa Shirikisho 2025
03/05/2025 Duration: 04minChama cha Labor kime shinda uchaguzi wa shirikisho wa 2025 na, kita unda serikali.
-
Taarifa ya Habari 2 Mei 2025
02/05/2025 Duration: 18minUchambuzi mpya umetabiri Upinzani wa mseto utapitia uzoefu mubaya zaidi wa matokeo katika muda wa miaka 80 katika uchaguzi mkuu wa kesho.
-
Uchaguzi wa Shirikisho 2025- mazuri, mabaya na maswala ya kukera kutoka wiki tano zilizo pita
02/05/2025 Duration: 10minKampeni za uchaguzi wa shirikisho wa 2025 zina karibia tamati.
-
How to vote in the federal election - Jinsi ya kupiga kura katika uchaguzi wa shirikisho
01/05/2025 Duration: 09minOn election day the Australian Electoral Commission anticipates one million voters to pass through their voting centres every hour. Voting is compulsory for everyone on the electoral roll, so all Australians should familiarise themselves with the voting process before election day. - Siku ya uchaguzi Tume ya Uchaguzi ya Australia inatarajia wapiga kura milioni moja, watapita katika vituo vya kupiga kura kila saa moja. Ni lazima kupiga kura kwa kila mtu ambaye yuko katika sajili yakupiga kura, kwa hiyo wa Australia wote wana stahili jifahamisha na mchakato wa kupiga kura kabla ya siku ya kupiga kura.
-
Taarifa ya Habari 29 Aprili 2025
29/04/2025 Duration: 17minWaziri Mkuu Anthony Albanese ana fanya kampeni katika eneo bunge la chama cha Greens la Griffith, chama cha Labor kikiwa na matumaini yakushinda eneo bunge hilo la ndani ya Brisbane.